Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 01, 02
Katika maandishi ya Musa hatuwezi kupata kumbukumbu kuhusu uaminifu wa wana wa Israeli katika nchi ya Misiri. Iwapo walikuwa wema au wabaya, Musa hasemi. Lakini hapa kupitia Ezekieli tunaambiwa walivy...
Katika maandishi ya Musa hatuwezi kupata kumbukumbu kuhusu uaminifu wa wana wa Israeli katika nchi ya Misiri. Iwapo walikuwa wema au wabaya, Musa hasemi. Lakini hapa kupitia Ezekieli tunaambiwa walivy...
Ni dhahiri kuona kwamba kabla wewe na mimi kuwa tayari kuhamishwa bila kufa, lazima kwanza tuwe tayari kwenda katika nchi ya Ahadi, huko kutakaswa, huko mioyo yetu ya jiwe kuondolewa. Naam, njia pekee...
Ni wazi, basi, uzinzi hakika utatoweka, na uhuisho huu na matengenezo yaliyoletwa na vuguvugu hili la mlei yatatimiza kazi yake lililopewa. Na hivyo, unaona kwamba kama tokeo la lalama za watoto, fami...
Danieli aliambiwa kufunga na kukitia muhuri kitabu hata wakati wa mwisho. Kitabu, kwa hivyo, hakikuwa kwa ajili ya ufahamu wa watu kabla ya wakati wa mwisho. Hivyo, basi, wakati kitabu kinafunuliwa na...
Mzigo wa ujumbe utakaotangazwa ni kuwaandaa watu kukutana na Bwana: kusawazisha maeneo yaliyo-inuka, kuyainua yaliyo chini, kuondoa vizuizi vyote, ili njia kuu ya Bwana, njia ya kuja Kwake, isafishwe....
Wayahudi walikuwa wamejenga dhana potofu kuhusu namna Ufalme ungeweza kuwa, na jinsi na lini un-gepaswa kuja na hivyo wakati Bwana alipofunua dhana zao, walikasirika. Walikasirika sana, sio kwa sababu...
Sote tunajua kwamba vita havikuwapo kabla ya gharika, kwamba vita vilianza baada ya mchafuko wa lugha kwenye mnara wa Babeli, baada ya familia ya wanadamu kugawanyika katika lugha, mataifa, na jamii n...
Kipo kitabu kimoja tu katika Bibilia ambacho kilipaswa kufunguliwa, na hicho ni kitabu cha Danieli (Dan. 12: 4). Na kwa kuwa kitu cha kwanza ambacho malaika alifanya ni kukifungua kitabu, uchambuzi un...
Bibilia, tunaona, huiweka ile namba “666,” sio kwa mnyama wa kwanza, kama chui, ila kwa wa pili, yule mnyama mwenye pembe mbili, kwa maelezo ya mnyama wa kwanza hukoma katika Ufu. 13:10, na maelezo ya...
Wote ambao hutubu kwa kuivunja sheria, na kumpokea Yeye kama Mwokozi wao, huinuka kutembea katika upya wa maisha. Maisha ambayo yanapatana na sheria kwa kweli ni haki ya Kristo. Wao, zaidi ya hayo, ha...
Wakristo kwa karne nyingi wamehubiri Ufalme wa Mungu, lakini haujaeleweka kwa wengi wao iwapo Utakuwa halisi kama dunia yenyewe, au Utakuwa kitu fulani cha povu, kitu fulani kinachoelea angani, au nin...
Watu ambao hutii sheria ya serikali hufikiri kwamba ni maagizo bora ya uhuru, lakini wale hufurahia kufanya dhambi, kwa wao sheria ni chukizo. Muuaji yeyote ambaye kwa sheria amehukumiwa kifo, kwa kaw...
Mti wa Krismasi unaotumiwa sana, tarehe 25 Desemba -- mti uliokatwa kutoka kwa chanzo chake cha uzima na kukazwa kwa misumari -- hauwakilishi kuzaliwa, ila badala yake kifo cha mmoja na juhudi isiyo n...
Ili kuonyesha mada ya uchambuzi wetu alasiri hii, hebu tuchukue kwa mfano kitabu ambacho Dhehebu lime-toa kuhusu Danieli na Ufunuo, vitabu viwili vyenye thamani sana vya Bibilia. Kitabu nilicho nacho ...
Kazi ya Eliya wa kale, unajua, ilikuwa kazi ya kufunga kwa ajili ya Israeli ya mfano iliyoasi -- Kanisa. Vivyo hivyo kazi ya Eliya wa siku hii lazima iwe kazi ya uakisi ya kufunga kwa hekalu Lake, Kan...
Je! Huku kurudi kutakuwa kusikotarajiwa? au Bwana atamtuma mtu fulani kwanza kuitengeneza njia Yake? Na ikiwa mtu atatangulia kuja Kwake, atakuwa nani? -- “Akajibu, akawaambia, Kweli, Ni kweli Eliya y...
Fimbo ya Mchungaji, vitabu ambavyo Uvuvio uliviita hivyo na kuyavuvia yaliyomo, ikiwa ndio Fimbo ya pekee duniani inayoweza kusikika ikinena, Bwana anaamuru kwamba unapaswa kuisikia, kwamba usiweze ku...
Kwa uzoefu wa kibinafsi Daudi alijua uaminifu wa Mungu: Baada ya kufanya yote yaliyotakiwa kufanywa katika kumtumikia Mungu, alikuwa na imani kwamba wakati dubu na simba walipokuja kula wana-kondoo wa...
Sisi na wengi katika himaya ya Ukristo kwa kawaida tunaamini kwamba simba huwakilisha ufalme wa Babeli wa kale, dubu Umedi na Uajemi, chui Uyunani, na mnyama dubwana katika awamu zake mbili falme za R...
Wazazi wenye busara hutazama mbele. Wao waangalifu kuhakikisha mustakabali wa watoto wao. Hili wao hulifanya kwa kukazia kikiki ndani ya watoto wao kanuni zilizozalishwa na Mbingu ambazo kwazo watoto ...
Yapo mazungumzo mengi kati yetu kuhusu “haki kwa neema” na “haki kwa imani,” pia juu ya “haki ya Kris-to.” Lakini mazungumzo haya yote yatakuwa na faida gani isipokuwa tufanye jambo ili kujua haki hiz...
Hata hivyo, nina uhakika kwamba Mungu hatatuweka tusiyajue mambo ambayo tunapaswa kujua. Iwapo itakuwa muhimu kwetu kujua mbele ya wakati siku na saa ya utakaso wa kanisa, Pasaka ya uakisi, tutaambiwa...
Watu wote katika vizazi vyote ambao wamewahi kuukumbatia ujumbe mpya kutoka kwa Mungu, walipigwa chapa kama “vichipuko” na kuangaliwa hatari -- jambo ambalo mtu lazima ajihadhari asije akapigwa risasi...
Ukristo wa kweli ni ukuaji. Ni kama mmea. Kristo Mwenyewe amewakilishwa kama Chipukizi (Isa. 11:1), na ufalme Wake kama mbegu ya haradali (Mat. 13:31, 32) ambayo baada ya kupandwa huwa mti, mkubwa wa ...