fbpx

Na iwapo tungaliutafuta ushauri kutoka kwa wachungaji wa madhehebu yetu ya awali na kupokea mashauri yao, wangapi kati yetu wangekuja kuwa Waadventista wa Sabato? Jibu la jumla ni, “hapana hata mmoja wetu.” Hivi ndivyo imekuwa hatima ya wote ambao wamefuata maamuzi ya watu ambao hawakuvuviwa...

Nahumu anaziona tawala mbili kuu katika vita vinayoonyeshwa kwa siku ambayo kila kitu juu ya magurudu-mu hukwenda kama “umeme.” Kisha kwa njia tofauti kabisa, hukazia uangalifu kwa mmoja anayetembea dhahiri juu ya milima, si kwa kujificha katika mabonde, na ambaye huchapisha amani badala ya vita....

Kwa zaidi ya karne kumi na tisa, taasisi ya Krismasi, siku maarufu ya kupokezana zawadi, imekuwa mashuhuri katika Kanisa la Kikristo kama mojawapo ya zawadi nzuri na kamilifu za Mungu. Na hisia hii imetukuzwa na kuendelezwa mbele ya uso wa kweli zinazojulikana sana kwamba Krismasi...

“Shetani,” inasema Roho ya Unabii, “anao uwezo wa kupendekeza mashaka na kubuni pingamizi kwa ushuhuda ulio dhahiri ambao Mungu hutuma, na wengi hufikiri ni fadhila, alama ya ujasusi ndani yao, kuwa wa kutoamini, na kuhoji na kubishana. Wale ambao wanataka kutilia shaka watapata nafasi nyingi....

>