15 Dec Mtoa Jibu Kitabu Namba 5
Kama vile Mfano Mkuu wa dini ya Biblia alikuwa Neno (Mwana) wa Mungu katika umbo la mwanadamu (1 Yohana 1:1), vivyo hivyo dini ya Biblia yenyewe ni amri (haki) ya Mungu katika umbo la kibinadamu (2 Kor. 3:3; Kut. 31:18). Lakini kupitia katika chombo ambacho...