10 Jul Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 36, 37, 38
Tunaulizwa sasa kuchagua ama kusimama upande wa Mungu au kwa upande wa maadui Zake (wale ambao tun-awaogopa); wale ambao wanafanya kila kitu kuyafumba macho yetu kwa Ukweli wa Mungu wa wakati huu -- ama kumchagua Mungu, Roho Wake na Ukweli Wake uliofunuliwa, au kuchagua watu,...