10 Sep Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 51, 52
Je! Dini ni kitu ambacho hukua na kupanuka, au ni kitu ambacho husimama tuli? Siku ile nyingine tu tulisikia kwenye redio mchungaji fulani akijisifu kwamba dhehebu lake halijaongeza au kutupilia mbali fundisho tangu lianzishwe. Je! Hiki ni kitu cha kujivunia? au ni kitu cha kusikitikia?...