30 May Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 27, 28
Mpaka sasa, tumekuwa tu tukicheza na maadui wa Bwana lakini sasa lazima tuzame katika shughuli pasipo kujali ni nani anayesikia. Watu Wake lazima sasa wageuke milele kutoka kwa maneno ya mwanadamu, yawayo yote, na kuweka imani na tumaini lao katika “Bwana asema hivi,” bila kujali...