10 Feb Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 07, 08
Ndugu kadhaa wameniandikia mara kwa mara, wakitaka kujua nini kinachoweza kuwafanya wawe wateule kuupokea Muhuri wa Mungu. Wengine wanataka kujua kama watatiwa muhuri kwa kutenda hili au kutenda lile. Wengine wanataka kujua kama wataachwa bila muhuri kwa kutofanya jambo hili au kutofanya jambo lingine. {1TG7:...