30 Oct Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 29, 30
Kazi ya Eliya wa kale, unajua, ilikuwa kazi ya kufunga kwa ajili ya Israeli ya mfano iliyoasi -- Kanisa. Vivyo hivyo kazi ya Eliya wa siku hii lazima iwe kazi ya uakisi ya kufunga kwa hekalu Lake, Kanisa, kabla ya siku kuu na ya kuogofya...