30 Mar Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 15, 16
Hebu kimbele tuyaamshe upya mawazo yetu kwa mwenendo wa Wayahudi dhidi ya manabii: Badala ya kwen-da na kusudi la kujifunza na kufikiria, Wayahudi waliwaendea manabii na nia za ubaguzi, na nia mbaya, na chuki ndani ya mioyo yao, na kwa vyombo vya ukatili . (Hatupaswi.)...