fbpx

Kuamini kwamba mungependa kuwa na ufahamu hakika wa mgogoro sasa unaolikumba kanisa letu pendwa S.D.A., sisi kama ndugu wa imani moja ya thamani tunakuja kwenu kwa jina lake Yeye Ambaye, ingawa alikuwa mtakatifu, alikula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi, na Ambaye, ingawa Alikuwa...

Na iwapo tungaliutafuta ushauri kutoka kwa wachungaji wa madhehebu yetu ya awali na kupokea mashauri yao, wangapi kati yetu wangekuja kuwa Waadventista wa Sabato? Jibu la jumla ni, “hapana hata mmoja wetu.” Hivi ndivyo imekuwa hatima ya wote ambao wamefuata maamuzi ya watu ambao hawakuvuviwa...

Nahumu anaziona tawala mbili kuu katika vita vinayoonyeshwa kwa siku ambayo kila kitu juu ya magurudu-mu hukwenda kama “umeme.” Kisha kwa njia tofauti kabisa, hukazia uangalifu kwa mmoja anayetembea dhahiri juu ya milima, si kwa kujificha katika mabonde, na ambaye huchapisha amani badala ya vita....

Kwa zaidi ya karne kumi na tisa, taasisi ya Krismasi, siku maarufu ya kupokezana zawadi, imekuwa mashuhuri katika Kanisa la Kikristo kama mojawapo ya zawadi nzuri na kamilifu za Mungu. Na hisia hii imetukuzwa na kuendelezwa mbele ya uso wa kweli zinazojulikana sana kwamba Krismasi...

Kanisa la Kiyahudi, ambapo ukweli ulikaa mpaka wakati wa Kristo, lingekuwa milele “ghala,” na makuhani wangekuwa milele mawakili wake. Lakini wakati walimkataa Kristo, walimlazimisha Mungu kuhamisha “ghala” Lake kwa wachache sana ambao walikubali ujumbe ulioongezwa kwa siku hiyo. Hivyo basi, wale ambao hawakuamini walipoteza uwakili...

" Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajifanya tayari ili wazipige. Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea....

Ingawa ni kazi ya kutia taji wokovu wetu na ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Kristo duniani, hata sasa “hukumu ya upelelezi” ni mojawapo wa masomo ya Biblia yaliyofahamika kwa uchache yaliyochafuliwa sana na kuchanganywa ya kizazi hiki. Lingekuwa si la umuhimu kwa wokovu wetu, adui...

Kwa hivyo, wandugu, tatueni mara moja na milele, kwamba kwa msaada wa Bwana hamtachukuliwa tena na pepo za mafundisho ambayo yamebuniwa na kuendeshwa na roho ya uovu, si kwa Roho wa Kweli, ila kwamba mtatafuta daima, na kusimama na, Neno la Mungu Lililovuviwa -- “ushuhuda...

Ingawa mara kadhaa tumehitimisha kuyajibu maswali kama (1) iwapo Yesu, ili kutimiza “ishara ya Yona,” alikuwa “siku tatu mchana na usiku” kaburini, au (2) iwapo ishara ilikuwa imetimizwa kwa namna nyingine na (3) ikiwa Yeye alisulubishwa siku ya Ijumaa, ya Alhamisi, au Jumatano, bado inaonekana...

Kwa sababu fundisho la millenia huwasilisha maswali kadhaa ya kusumbua na yaliyoondolewa uhitaji mu-himu kwa wokovu wa kila mwanadamu, na kwa kuwa ukweli pekee yake utaiweka nafsi huru kutoka kwa udanganyifu na dhambi, na kuutakasa moyo, hitaji ni muhimu, kwa hivyo, kwamba tugundue jibu sahihi...

>