fbpx

Katika vizazi vyote, wote ambao huweka matumaini yao kwa watu wanaoitwa eti wenye busara, na Wakristo wakuu wa siku, wote wanaodhaniwa kuwa wanamcha Mungu, wamenyang’anywa taji ya uzima wa milele, kama walivyokuwa walei wa Kiyahudi katika siku za Kristo kwa sababu yao kushindwa kuchukua jukumu...

Mwana-Kondoo, anasimama kwanza mbele ya kiti cha enzi mbinguni, anasimama baadaye na watu 144,000 juu ya Mlima Zayuni, juu ya nchi, ingawa Wazee na Wenye Uhai wanaokizunguka kiti cha enzi wanabaki mbinguni. Hivyo, kwa usahihi kuelewa tukio hili la unabii kwa ukamilifu, lazima tutofautishe kwa...

Yule Ambaye alitabiri kuinuka na kuanguka kwa Babeli na mataifa yalioufuata, ndiye pekee anayejua ni nini kitakachokuwa tokeo la “dhiki ya mataifa” ya sasa. Luka 21:25. Kwa nuru, basi, juu ya swali hili mu-himu sasa la maanani kwanza katika kila akili timamu, tunamgeukia Mungu wa...

Wayahudi walimwita Kristo aliyetarajiwa, Masihi lakini sisi ambao tunazungumza kwa Kiingereza tunamwita Yule Mtiwa mafuta, kwa sababu kwa lugha yetu hilo ndilo neno, Masihi, linamaanisha. Cheo Mtiwa mafuta, sio maana kwa Kiebrania, kama vile cheo, Masihi, kwa Mwingereza, isipokuwa Mwingereza na Myahudi wanazungumza Kiingereza na...

>