fbpx

Nahumu anaziona tawala mbili kuu katika vita vinayoonyeshwa kwa siku ambayo kila kitu juu ya magurudu-mu hukwenda kama “umeme.” Kisha kwa njia tofauti...

Msomaji atathamini ukweli kwamba umuhimu wa wakala huu wa kuleta afya ni katika mambo mengine sawa na ule wa injili, kwa sababu hakuna...

Kwa zaidi ya karne kumi na tisa, taasisi ya Krismasi, siku maarufu ya kupokezana zawadi, imekuwa mashuhuri katika Kanisa la Kikristo kama mojawapo...

Kama vile Mfano Mkuu wa dini ya Biblia alikuwa Neno (Mwana) wa Mungu katika umbo la mwanadamu (1 Yohana 1:1), vivyo hivyo dini...

“Shetani,” inasema Roho ya Unabii, “anao uwezo wa kupendekeza mashaka na kubuni pingamizi kwa ushuhuda ulio dhahiri ambao Mungu hutuma, na wengi hufikiri...

Bila kukosea, kwa hivyo, nuru angavu inayoangaza kutoka kwa mfano, kutoka kwa shuhuda za manabii, na kutoka kwa historia, huutambua ujumbe wa Fimbo...

Sasa kwamba kwa upande mmoja Bwana anasihi kwamba uishikilie nuru Yake kuu ya Ukweli na kwa hivyo utengwe na dhambi, ili upate kuokoka...

Tafakari, Ndugu, na mzinduke kwa uhai! Sauti hii, inayoteta nanyi muamke na kuepuka mitego ya Adui haiwezekani kuwa sauti ya Adui! Kumbukeni kwamba...

Kanisa la Kiyahudi, ambapo ukweli ulikaa mpaka wakati wa Kristo, lingekuwa milele “ghala,” na makuhani wangekuwa milele mawakili wake. Lakini wakati walimkataa Kristo,...

>