fbpx

Tafakari, Ndugu, na mzinduke kwa uhai! Sauti hii, inayoteta nanyi muamke na kuepuka mitego ya Adui haiwezekani kuwa sauti ya Adui! Kumbukeni kwamba...

Kanisa la Kiyahudi, ambapo ukweli ulikaa mpaka wakati wa Kristo, lingekuwa milele “ghala,” na makuhani wangekuwa milele mawakili wake. Lakini wakati walimkataa Kristo,...

" Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajifanya tayari ili wazipige. Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto...

Ingawa ni kazi ya kutia taji wokovu wetu na ya kuanzishwa kwa Ufalme wa Kristo duniani, hata sasa “hukumu ya upelelezi” ni mojawapo...

Kwa hivyo, wandugu, tatueni mara moja na milele, kwamba kwa msaada wa Bwana hamtachukuliwa tena na pepo za mafundisho ambayo yamebuniwa na kuendeshwa...

>