Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 27, 28
Ili kuonyesha mada ya uchambuzi wetu alasiri hii, hebu tuchukue kwa mfano kitabu ambacho Dhehebu lime-toa kuhusu Danieli na Ufunuo, vitabu viwili vyenye...
Ili kuonyesha mada ya uchambuzi wetu alasiri hii, hebu tuchukue kwa mfano kitabu ambacho Dhehebu lime-toa kuhusu Danieli na Ufunuo, vitabu viwili vyenye...
Wote ambao hutubu kwa kuivunja sheria, na kumpokea Yeye kama Mwokozi wao, huinuka kutembea katika upya wa maisha. Maisha ambayo yanapatana na sheria...
Bibilia, tunaona, huiweka ile namba “666,” sio kwa mnyama wa kwanza, kama chui, ila kwa wa pili, yule mnyama mwenye pembe mbili, kwa...
Kipo kitabu kimoja tu katika Bibilia ambacho kilipaswa kufunguliwa, na hicho ni kitabu cha Danieli (Dan. 12: 4). Na kwa kuwa kitu cha...
Sote tunajua kwamba vita havikuwapo kabla ya gharika, kwamba vita vilianza baada ya mchafuko wa lugha kwenye mnara wa Babeli, baada ya familia...
Wayahudi walikuwa wamejenga dhana potofu kuhusu namna Ufalme ungeweza kuwa, na jinsi na lini un-gepaswa kuja na hivyo wakati Bwana alipofunua dhana zao,...
Mzigo wa ujumbe utakaotangazwa ni kuwaandaa watu kukutana na Bwana: kusawazisha maeneo yaliyo-inuka, kuyainua yaliyo chini, kuondoa vizuizi vyote, ili njia kuu ya...
Danieli aliambiwa kufunga na kukitia muhuri kitabu hata wakati wa mwisho. Kitabu, kwa hivyo, hakikuwa kwa ajili ya ufahamu wa watu kabla ya...
Ni wazi, basi, uzinzi hakika utatoweka, na uhuisho huu na matengenezo yaliyoletwa na vuguvugu hili la mlei yatatimiza kazi yake lililopewa. Na hivyo,...
Na iwapo tungaliutafuta ushauri kutoka kwa wachungaji wa madhehebu yetu ya awali na kupokea mashauri yao, wangapi kati yetu wangekuja kuwa Waadventista wa...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.