Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 42, 43
Sasa tunaishi katika dunia iliyochanganyikiwa. Baadhi ni wa Paulo na baadhi ni wa Apolo, wa Kefa, Petro, Yo-hana, na Yakobo, wengine wa Mungu...
Sasa tunaishi katika dunia iliyochanganyikiwa. Baadhi ni wa Paulo na baadhi ni wa Apolo, wa Kefa, Petro, Yo-hana, na Yakobo, wengine wa Mungu...
Tumejifunza sasa kwamba wake wawili wa Abrahamu na wana wawili ni utabiri ki-mfano wa makanisa ya Agano la Kale na Jipya; kwamba kuwasili...
Tunaulizwa sasa kuchagua ama kusimama upande wa Mungu au kwa upande wa maadui Zake (wale ambao tun-awaogopa); wale ambao wanafanya kila kitu kuyafumba...
Wakati ambapo Mungu anaidhihirisha nguvu Yake kati ya watu Wake, hata ulimwengu utahisi athari zake. Njia za wamishonari zimeachwa, mmishonari mwenyewe anakoma; hamjali...
Katika Ufalme uliotabiriwa hapa, sio tu watu watakuwa na amani na watu, bali watu na wanyama, na wanyama kwa wanyama pia. Sababu iliyotolewa...
“Bwana hapa anaonyesha kwamba ujumbe unaopaswa kupelekwa kwa watu wake na wachungaji ambao ame-waita ili kuwaonya watu, sio ujumbe wa amani na usalama....
Mpaka sasa, tumekuwa tu tukicheza na maadui wa Bwana lakini sasa lazima tuzame katika shughuli pasipo kujali ni nani anayesikia. Watu Wake lazima...
Kwa hivyo mvurugo unaosababishwa na uhusuru wa Ukweli kwa kanisa na maadui Wake kufanya vita dhidi Yake, ambao tayari umeanza kunasa umakini wa...
La muhimu zaidi kwa yote, hata hivyo, nabii Nahumu anaeleza wazi wazi kwamba mambo haya yote yanatukia katika siku zetu, na kwamba anguko...
Haijalishi jinsi gani yalivyo makubwa na yenye kufanikiwa uamsho na matengenezo ambayo hata Mungu mwenyewe anaweza kuyazindua katika kanisa Lake, Maandiko yanaweka wazi...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.