10 Jan Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 01, 02
Njia ngapi? – mbili tu: njia sahihi na njia mbaya. Njia hizi mbili zimekuwa pamoja nasi na daima zitakuwa kwa kadri muda wote mwanadamu wa asili na wa kiroho atakuwa...
Njia ngapi? – mbili tu: njia sahihi na njia mbaya. Njia hizi mbili zimekuwa pamoja nasi na daima zitakuwa kwa kadri muda wote mwanadamu wa asili na wa kiroho atakuwa...
Asilani hakukuwahi kuwa na mawingu ya vita, ya ajabu na meusi sana yakining’inia kwa ghadhabu ya uzito juu ya ulimwengu, na kamwe ulimwengu haukujiona jinsi ulivyo leo. Kote kote, --...
Ukristo wa kweli ni ukuaji. Ni kama mmea. Kristo Mwenyewe amewakilishwa kama Chipukizi (Isa. 11:1), na ufalme Wake kama mbegu ya haradali (Mat. 13:31, 32) ambayo baada ya kupandwa huwa...
Watu wote katika vizazi vyote ambao wamewahi kuukumbatia ujumbe mpya kutoka kwa Mungu, walipigwa chapa kama “vichipuko” na kuangaliwa hatari -- jambo ambalo mtu lazima ajihadhari asije akapigwa risasi, kwa...
Hata hivyo, nina uhakika kwamba Mungu hatatuweka tusiyajue mambo ambayo tunapaswa kujua. Iwapo itakuwa muhimu kwetu kujua mbele ya wakati siku na saa ya utakaso wa kanisa, Pasaka ya uakisi,...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.