02 Jun Waraka Wa 2 Wa Yezreeli
Sasa, kwa kuwa ujumbe wa Hukumu kwa waliohai ni muhimu zaidi kuliko ujumbe wa Hukumu kwa Wafu, ni dhahiri inatarajia kwamba Biblia itakuwa na zaidi ya kusema kuhusu hukumu ya...
Sasa, kwa kuwa ujumbe wa Hukumu kwa waliohai ni muhimu zaidi kuliko ujumbe wa Hukumu kwa Wafu, ni dhahiri inatarajia kwamba Biblia itakuwa na zaidi ya kusema kuhusu hukumu ya...
Ni tu kwa kusikia vile uvuvio unasema, na kwa kuepuka sauti zote zilizo kinyume na Sauti Yake, je,mna yeyote miongoni mwetu anaweza kuishi kwenye Hukumu na kupata nafasi katika Ufalme...
Wakristo kwa karne nyingi wamehubiri Ufalme wa Mungu, lakini haujaeleweka kwa wengi wao iwapo Utakuwa halisi kama dunia yenyewe, au Utakuwa kitu fulani cha povu, kitu fulani kinachoelea angani, au...
Ni dhahiri kuona kwamba kabla wewe na mimi kuwa tayari kuhamishwa bila kufa, lazima kwanza tuwe tayari kwenda katika nchi ya Ahadi, huko kutakaswa, huko mioyo yetu ya jiwe kuondolewa....
Katika maandishi ya Musa hatuwezi kupata kumbukumbu kuhusu uaminifu wa wana wa Israeli katika nchi ya Misiri. Iwapo walikuwa wema au wabaya, Musa hasemi. Lakini hapa kupitia Ezekieli tunaambiwa walivyokuwa....
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.