30 Jan Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 05, 06
Aya ya 2 -- “Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya Bwana utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi...
Aya ya 2 -- “Na itakuwa katika siku za mwisho, mlima wa nyumba ya Bwana utawekwa imara juu ya milima, nao utainuliwa juu ya vilima; na mataifa yote watauendea makundi...
Hebu tuone. Kabla ya kuanzisha agizo la unyenyekevu, Yesu aliwaambia wanafunzi wake, “Ninyi ni safi, lakini sio nyote.” Mmoja hakuwa. Licha ya ukweli kwamba Yuda hakuwa anastahili, agizo halingeweza kusitishwa....
Njia ngapi? – mbili tu: njia sahihi na njia mbaya. Njia hizi mbili zimekuwa pamoja nasi na daima zitakuwa kwa kadri muda wote mwanadamu wa asili na wa kiroho atakuwa...
Asilani hakukuwahi kuwa na mawingu ya vita, ya ajabu na meusi sana yakining’inia kwa ghadhabu ya uzito juu ya ulimwengu, na kamwe ulimwengu haukujiona jinsi ulivyo leo. Kote kote, --...
Ukristo wa kweli ni ukuaji. Ni kama mmea. Kristo Mwenyewe amewakilishwa kama Chipukizi (Isa. 11:1), na ufalme Wake kama mbegu ya haradali (Mat. 13:31, 32) ambayo baada ya kupandwa huwa...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.