20 Oct Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 25, 26
Mti wa Krismasi unaotumiwa sana, tarehe 25 Desemba -- mti uliokatwa kutoka kwa chanzo chake cha uzima na kukazwa kwa misumari -- hauwakilishi kuzaliwa, ila badala yake kifo cha mmoja...
Mti wa Krismasi unaotumiwa sana, tarehe 25 Desemba -- mti uliokatwa kutoka kwa chanzo chake cha uzima na kukazwa kwa misumari -- hauwakilishi kuzaliwa, ila badala yake kifo cha mmoja...
Watu ambao hutii sheria ya serikali hufikiri kwamba ni maagizo bora ya uhuru, lakini wale hufurahia kufanya dhambi, kwa wao sheria ni chukizo. Muuaji yeyote ambaye kwa sheria amehukumiwa kifo,...
Je! Dini ni kitu ambacho hukua na kupanuka, au ni kitu ambacho husimama tuli? Siku ile nyingine tu tulisikia kwenye redio mchungaji fulani akijisifu kwamba dhehebu lake halijaongeza au kutupilia...
Iwapo tutalinganisha kazi zetu na kazi za Nuhu tutaona ikiwa tunapatana naye katika kutii Ukweli wa sasa. La walioishi kabla wala baada ya gharika hawakufaidika na mahubiri ya Nuhu. Wa...
Tunapaswa kushukuru sana kuwa Bwana anatulisha kwa “chakula kwa wakati wake”! Ijapokuwa watu wanauana kwa mamilioni ili wajikomboe kutoka kwa nira ya taifa fulani lingine, Musa aliwakomboa Israeli wa kale...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.