30 Mar Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 13, 14
Sote tunajua kwamba vita havikuwapo kabla ya gharika, kwamba vita vilianza baada ya mchafuko wa lugha kwenye mnara wa Babeli, baada ya familia ya wanadamu kugawanyika katika lugha, mataifa, na...
Sote tunajua kwamba vita havikuwapo kabla ya gharika, kwamba vita vilianza baada ya mchafuko wa lugha kwenye mnara wa Babeli, baada ya familia ya wanadamu kugawanyika katika lugha, mataifa, na...
Wayahudi walikuwa wamejenga dhana potofu kuhusu namna Ufalme ungeweza kuwa, na jinsi na lini un-gepaswa kuja na hivyo wakati Bwana alipofunua dhana zao, walikasirika. Walikasirika sana, sio kwa sababu Ufalme...
Mzigo wa ujumbe utakaotangazwa ni kuwaandaa watu kukutana na Bwana: kusawazisha maeneo yaliyo-inuka, kuyainua yaliyo chini, kuondoa vizuizi vyote, ili njia kuu ya Bwana, njia ya kuja Kwake, isafishwe. Maneno...
Danieli aliambiwa kufunga na kukitia muhuri kitabu hata wakati wa mwisho. Kitabu, kwa hivyo, hakikuwa kwa ajili ya ufahamu wa watu kabla ya wakati wa mwisho. Hivyo, basi, wakati kitabu...
Ni wazi, basi, uzinzi hakika utatoweka, na uhuisho huu na matengenezo yaliyoletwa na vuguvugu hili la mlei yatatimiza kazi yake lililopewa. Na hivyo, unaona kwamba kama tokeo la lalama za...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.