30 Apr Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 21, 22
Haijalishi jinsi gani yalivyo makubwa na yenye kufanikiwa uamsho na matengenezo ambayo hata Mungu mwenyewe anaweza kuyazindua katika kanisa Lake, Maandiko yanaweka wazi kwamba wote wadhambi na wa-takatifu watakuwa kanisani...




