15 Mar Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 39, 40
Yapo mazungumzo mengi kati yetu kuhusu “haki kwa neema” na “haki kwa imani,” pia juu ya “haki ya Kris-to.” Lakini mazungumzo haya yote yatakuwa na faida gani isipokuwa tufanye jambo...
Yapo mazungumzo mengi kati yetu kuhusu “haki kwa neema” na “haki kwa imani,” pia juu ya “haki ya Kris-to.” Lakini mazungumzo haya yote yatakuwa na faida gani isipokuwa tufanye jambo...
Wazazi wenye busara hutazama mbele. Wao waangalifu kuhakikisha mustakabali wa watoto wao. Hili wao hulifanya kwa kukazia kikiki ndani ya watoto wao kanuni zilizozalishwa na Mbingu ambazo kwazo watoto wanaweza...
Sisi na wengi katika himaya ya Ukristo kwa kawaida tunaamini kwamba simba huwakilisha ufalme wa Babeli wa kale, dubu Umedi na Uajemi, chui Uyunani, na mnyama dubwana katika awamu zake...
Kwa uzoefu wa kibinafsi Daudi alijua uaminifu wa Mungu: Baada ya kufanya yote yaliyotakiwa kufanywa katika kumtumikia Mungu, alikuwa na imani kwamba wakati dubu na simba walipokuja kula wana-kondoo wake,...
Fimbo ya Mchungaji, vitabu ambavyo Uvuvio uliviita hivyo na kuyavuvia yaliyomo, ikiwa ndio Fimbo ya pekee duniani inayoweza kusikika ikinena, Bwana anaamuru kwamba unapaswa kuisikia, kwamba usiweze kuupoteza wakati wowote...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.