15 Dec Mtoa Jibu Kitabu Namba 5
Kama vile Mfano Mkuu wa dini ya Biblia alikuwa Neno (Mwana) wa Mungu katika umbo la mwanadamu (1 Yohana 1:1), vivyo hivyo dini ya Biblia yenyewe ni amri (haki) ya...
Kama vile Mfano Mkuu wa dini ya Biblia alikuwa Neno (Mwana) wa Mungu katika umbo la mwanadamu (1 Yohana 1:1), vivyo hivyo dini ya Biblia yenyewe ni amri (haki) ya...
“Shetani,” inasema Roho ya Unabii, “anao uwezo wa kupendekeza mashaka na kubuni pingamizi kwa ushuhuda ulio dhahiri ambao Mungu hutuma, na wengi hufikiri ni fadhila, alama ya ujasusi ndani yao,...
Bila kukosea, kwa hivyo, nuru angavu inayoangaza kutoka kwa mfano, kutoka kwa shuhuda za manabii, na kutoka kwa historia, huutambua ujumbe wa Fimbo kama ndio pekee ulioti wakfu kuliongoza kanisa...
Sasa kwamba kwa upande mmoja Bwana anasihi kwamba uishikilie nuru Yake kuu ya Ukweli na kwa hivyo utengwe na dhambi, ili upate kuokoka kulipiza kisasi Chake, uokolewe kutoka kwa taabu...
Tafakari, Ndugu, na mzinduke kwa uhai! Sauti hii, inayoteta nanyi muamke na kuepuka mitego ya Adui haiwezekani kuwa sauti ya Adui! Kumbukeni kwamba Bwana “hutushangaza kwa kuzifunua nguvu Zake kupitia...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.