15 Jan Trakti Namba 07
Kuamini kwamba mungependa kuwa na ufahamu hakika wa mgogoro sasa unaolikumba kanisa letu pendwa S.D.A., sisi kama ndugu wa imani moja ya thamani tunakuja kwenu kwa jina lake Yeye Ambaye,...
Kuamini kwamba mungependa kuwa na ufahamu hakika wa mgogoro sasa unaolikumba kanisa letu pendwa S.D.A., sisi kama ndugu wa imani moja ya thamani tunakuja kwenu kwa jina lake Yeye Ambaye,...
Kazi ya Eliya wa kale, unajua, ilikuwa kazi ya kufunga kwa ajili ya Israeli ya mfano iliyoasi -- Kanisa. Vivyo hivyo kazi ya Eliya wa siku hii lazima iwe kazi...
Mti wa Krismasi unaotumiwa sana, tarehe 25 Desemba -- mti uliokatwa kutoka kwa chanzo chake cha uzima na kukazwa kwa misumari -- hauwakilishi kuzaliwa, ila badala yake kifo cha mmoja...
Watu ambao hutii sheria ya serikali hufikiri kwamba ni maagizo bora ya uhuru, lakini wale hufurahia kufanya dhambi, kwa wao sheria ni chukizo. Muuaji yeyote ambaye kwa sheria amehukumiwa kifo,...
Je! Dini ni kitu ambacho hukua na kupanuka, au ni kitu ambacho husimama tuli? Siku ile nyingine tu tulisikia kwenye redio mchungaji fulani akijisifu kwamba dhehebu lake halijaongeza au kutupilia...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.