20 Jun Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 31, 32
Katika Ufalme uliotabiriwa hapa, sio tu watu watakuwa na amani na watu, bali watu na wanyama, na wanyama kwa wanyama pia. Sababu iliyotolewa kwa ajili ya amani kamilifu kama hii...
Katika Ufalme uliotabiriwa hapa, sio tu watu watakuwa na amani na watu, bali watu na wanyama, na wanyama kwa wanyama pia. Sababu iliyotolewa kwa ajili ya amani kamilifu kama hii...
“Bwana hapa anaonyesha kwamba ujumbe unaopaswa kupelekwa kwa watu wake na wachungaji ambao ame-waita ili kuwaonya watu, sio ujumbe wa amani na usalama. Sio nadharia tu, lakini wa ki-vitendo katika...
Mpaka sasa, tumekuwa tu tukicheza na maadui wa Bwana lakini sasa lazima tuzame katika shughuli pasipo kujali ni nani anayesikia. Watu Wake lazima sasa wageuke milele kutoka kwa maneno ya...
Kwa hivyo mvurugo unaosababishwa na uhusuru wa Ukweli kwa kanisa na maadui Wake kufanya vita dhidi Yake, ambao tayari umeanza kunasa umakini wa dunia, utasababisha kutakaswa kwa kanisa, “Hekalu.” Mal....
La muhimu zaidi kwa yote, hata hivyo, nabii Nahumu anaeleza wazi wazi kwamba mambo haya yote yanatukia katika siku zetu, na kwamba anguko la Ashuru linatukia wakati watu wa Mungu...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.