10 Aug Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 44, 45
Iwapo tungaliweza kutambua tu yale ambayo Mungu amewaandalia wapendao kusoma Neno Lake na kutembea katika Nuru Yake inayoongezeka daima, basi tungalifanya shughuli ya Mungu iwe shughuli yetu kuu; basi hatungaliweza...




