30 Apr Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 17, 18
Bibilia, tunaona, huiweka ile namba “666,” sio kwa mnyama wa kwanza, kama chui, ila kwa wa pili, yule mnyama mwenye pembe mbili, kwa maelezo ya mnyama wa kwanza hukoma katika...
Bibilia, tunaona, huiweka ile namba “666,” sio kwa mnyama wa kwanza, kama chui, ila kwa wa pili, yule mnyama mwenye pembe mbili, kwa maelezo ya mnyama wa kwanza hukoma katika...
Kipo kitabu kimoja tu katika Bibilia ambacho kilipaswa kufunguliwa, na hicho ni kitabu cha Danieli (Dan. 12: 4). Na kwa kuwa kitu cha kwanza ambacho malaika alifanya ni kukifungua kitabu,...
Sote tunajua kwamba vita havikuwapo kabla ya gharika, kwamba vita vilianza baada ya mchafuko wa lugha kwenye mnara wa Babeli, baada ya familia ya wanadamu kugawanyika katika lugha, mataifa, na...
Wayahudi walikuwa wamejenga dhana potofu kuhusu namna Ufalme ungeweza kuwa, na jinsi na lini un-gepaswa kuja na hivyo wakati Bwana alipofunua dhana zao, walikasirika. Walikasirika sana, sio kwa sababu Ufalme...
Mzigo wa ujumbe utakaotangazwa ni kuwaandaa watu kukutana na Bwana: kusawazisha maeneo yaliyo-inuka, kuyainua yaliyo chini, kuondoa vizuizi vyote, ili njia kuu ya Bwana, njia ya kuja Kwake, isafishwe. Maneno...
Session expired
Please log in again. The login page will open in a new tab. After logging in you can close it and return to this page.