20 Jun Gombo la 1 Salamu Mwafaka Namba 31, 32
Katika Ufalme uliotabiriwa hapa, sio tu watu watakuwa na amani na watu, bali watu na wanyama, na wanyama kwa wanyama pia. Sababu iliyotolewa kwa ajili ya amani kamilifu kama hii ni kwamba nchi itajawa na maarifa ya Bwana. Maarifa, basi, ndiyo tunayohitaji, na je! tutayakataa...