15 Feb Gombo la 2 Salamu Mwafaka Namba 38
Wazazi wenye busara hutazama mbele. Wao waangalifu kuhakikisha mustakabali wa watoto wao. Hili wao hulifanya kwa kukazia kikiki ndani ya watoto wao kanuni zilizozalishwa na Mbingu ambazo kwazo watoto wanaweza kujenga kwa ufanisi taaluma ya maisha yao, maana juu ya kila msingi wowote ambao wazazi...