fbpx

Asilani hakukuwahi kuwa na mawingu ya vita, ya ajabu na meusi sana yakining’inia kwa ghadhabu ya uzito juu ya ulimwengu, na kamwe ulimwengu haukujiona jinsi ulivyo leo. Kote kote, -- serikalini, viwandani, kumbi za kujifunza, makanisa, nyumbani, barabarani -- katika nyanja zote za maisha, swali...

" Na wale malaika saba wenye baragumu saba wakajifanya tayari ili wazipige. Malaika wa kwanza akapiga baragumu, kukawa mvua ya mawe na moto vilivyotangamana na damu, vikatupwa juu ya nchi; theluthi ya nchi ikateketea, na theluthi ya miti ikateketea, na majani mabichi yote yakateketea....

>