02 Oct Fimbo Ya Mchungaji Gombo La 2
Kitabu hiki hakijachapishwa kufafanua, au kutoa maelezo kwa kweli ambazo zilifunuliwa awali, na kupokelewa hivyo, bali kitafichua hali halisi ambazo Mungu amehifadhi kwa vizazi vingi, si tu ili zisije zikatoweka, bali pia kuzuia maana yake isigunduliwe na watu wa hekima. Hivyo basi, Yule ambaye huyadhibiti...